mh zitto akutana na Waziri wa Maendeleo ya kiuchumi wa Ujerumani
Naibu
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi akiwa
na Waziri wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Ujerumani Dirk Niebel wakati wa
uzinduzi wa Mpango wa ushirkiano kati ya Afrika na Ujerumani jijini
Berlin tarehe 11. Desemba 2012.
No comments:
Post a Comment