Thursday, December 13, 2012

Sherehe ya kumuaga balozi wa Tanzania Berlin UjerumaniMzee Temu kulia akimpongeza Mh balozi Ngemera kushoto kwa kumaliza muda wake
Mr Waitara kulia kutoka ubalozini akimpongeza Mh balozi Ngemera wa pili kushoto kwa kumaliza muda wake, kushoto ni mzee kisalia
Mh Balozi Ngemera katika picha ya pamoja na maofisa wake kutoka ubalozini, kutoka kusho ni mama Kejo, Mh Balozi Ngemera na Mr Siwa, katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza muda wa wake iliofanyika nyumbani kwa balozi Berlin Ujerumani
Baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe Peter Kazaura, Beatrice Thomas, Mr Baruti, Christina, Leo Kazaura na Selemani Batashi wakazi wa berlin.
Baadhi ya wageni waalikwa wakazi wa ujerumani kutoka kushoto ni Christina, Joyce, Beatrice,Gladis na Esther
Mh balozi Ngemera katikati kwenye na wakazi wa berlin kushoto ni Khalfani na kulia ni Christina

No comments:

Post a Comment