Thursday, October 25, 2012

Mkuu wa Mkoa wa Arusha amtembelea katibu wa bakwata aliyejeruhiwa kwa bomu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha amtembelea katibu wa bakwata aliyejeruhiwa kwa bomu


 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Magessa Mulugo akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarim Jonjo anayeuguza majeraha aliyoyapata baada ya kutupiwa bomu nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo eneo la mtaa wa kanisani kata ya Sokoni jijini Arusha.
 Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Afande Liberatus Sabas akiangalia maganda yanayosadikiwa kuwa ya hilo bomu lililotipiwa dirishani katika nyumba ya Katibu wa BAKWATA wa mkoa huo usiku wa kuamkia leo
Dirisha lilikotupiwa hilo bomu.Picha zote na Mahmoud Ahmad

No comments:

Post a Comment