CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE TANZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA AFYA YA JAMII MNAZI MMOJA
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Hospitali ya Muhimbili Dkt. Marina Njelekela wakati wa Uzinduzi wa
Huduma ya Afya kwa Jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam
leo ,mgeni rasmi akiwa Mama Kikwete .
Mwenyekiti
wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa
Risala wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa Jamii Viwanja vya
Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo akiwa Mgeni rasmi.
Baadhi
ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali
kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya kwa Jamii akiwa
mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo .
Baadhi
ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali
kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya kwa Jamii akiwa
mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo .
Mwenyekiti
wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma KIkwete kulia na Mwenyekiti
wa Chama cha Madaktari Wanawake (MEWATA) Dkt Sarafina Mkuwa
wakijadiri kitu wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa jamii Viwanja
vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo .
Wakazi
wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika foleni ya kwenda kupima Afya zao
viwanja vya mnazi mmoja hunduma hiyo ni bure iliyoandaliwa na chama cha
madaktari wanawake Tanzania (MEWATA)
Daktari
bingwa wa macho kutoka hospitali ya Taifa muhimbili Bi.Celina Mhina
akimpima macho mmoja wa wazee walioathirika na macho.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakisubiria kupata huduma ya macho kwenye viwanjavya Mnazi Mmoja.PICHA ANNA ITENDA WA (MAELEZO) NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
MSONDO NGOMA YAKABIZIWA VYOMBO NA KONYAGI
SAID MABELA AKIPOKEA KUTOKA KWA David Mgwasa |
Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe nchini ya Msondo Ngoma music band imekabidhiwa vifaa vya muziki na kampuni ya Konyagi Dar es Salaam
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Konyagi nchini, David Mgwasa alisema vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kuenzi utamaduni wa Mtanzania na kuifanya msondo kuwa imara katika kutoa burudani kwa watanzania.
"Msondo ni bendi kongwe tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964 imesimama imara katika kutoa burudani ya uhakika kwa watanzania sanjari na kutumia nyimbo zake katika kuelimisha, kufunza jamii ya watanzania walio wengi," alisema Mgwasa.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Konyagi nchini, David Mgwasa alisema vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kuenzi utamaduni wa Mtanzania na kuifanya msondo kuwa imara katika kutoa burudani kwa watanzania.
"Msondo ni bendi kongwe tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964 imesimama imara katika kutoa burudani ya uhakika kwa watanzania sanjari na kutumia nyimbo zake katika kuelimisha, kufunza jamii ya watanzania walio wengi," alisema Mgwasa.
Alisema watu
wengi kwa kuwepo bedndi ya msondo wamewezakupata mafunzo mengio kupitia
nyimbo zao ambazo nyingi zimekuwa zikitoa mafunzo kwa watanzania.
Hivyo alisema kuwa kwa kuwapatia
vifaa hivyo, Msondo itakuwa moto wa kuotea mbali katika kutoa burudani
ya uhakika hali itakayofanya bendi nyingine kwa wasindikizaji katika
tasnia ya muziki wa dansi nc?hini.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Maalim Gurumo alisema kuwa kwa sasa wanadeni kwa Watanzania na kampuni ya Konyagi katika kutoa burudani ya uhakika baada ya kupatiwa vifaa hivyo.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Maalim Gurumo alisema kuwa kwa sasa wanadeni kwa Watanzania na kampuni ya Konyagi katika kutoa burudani ya uhakika baada ya kupatiwa vifaa hivyo.
"Tunaamini baada ya leo kupata vifaa hivyo tutatoa
burudani ya uhakika sanjari na kukijenga vyema kikosi chetu kwa lengo la
kukiimarisha," alisema Gurumo.
Kiongozi wa bendi hiyo Said Mabela alitoa shukrani wa kampuni ya konyagi kwa kuwapatia vifaa hivyo na kuahidi kuendelea kutoa burudani safi kwa Watanzania na Afrika kwa ujumla.
"Tunashukuru kampuni ya Konyagi kutupatia vifaa vya muziki ambavyo kwetu ilikuwa ni vigumu kwa kipindi hiki kuvipata, hivyo tunaamini tutafanya tutaendela kuwa vinara katika kutoa burudani nchini," alisema Mabela.
Kiongozi wa bendi hiyo Said Mabela alitoa shukrani wa kampuni ya konyagi kwa kuwapatia vifaa hivyo na kuahidi kuendelea kutoa burudani safi kwa Watanzania na Afrika kwa ujumla.
"Tunashukuru kampuni ya Konyagi kutupatia vifaa vya muziki ambavyo kwetu ilikuwa ni vigumu kwa kipindi hiki kuvipata, hivyo tunaamini tutafanya tutaendela kuwa vinara katika kutoa burudani nchini," alisema Mabela.
Ofisa Habari wa bendi hiyo Rajabu
Mhamila 'Super D' alisema kuwa amefurahishwa na kampuni hiyo kutoa vifaa
hivyo akiamini kuwa vijana wake watafanya vizuri zaidi katika
ushindanio wa muziki huo nchini.
Pia aliwaomba wadau wengine wa muziki nchini kujitokeza kuisaidia Msondo ili kuijengea uimara katika ushindi wa muziki huo nchini ili kuendelea kuwa bendi bora na ya kuigwa nchini.
Pia aliwaomba wadau wengine wa muziki nchini kujitokeza kuisaidia Msondo ili kuijengea uimara katika ushindi wa muziki huo nchini ili kuendelea kuwa bendi bora na ya kuigwa nchini.
WANAMZIKI WA BENDI YA MSONDO NGOMA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA KONYAGI |
Elsa Pataky
Eva Jacqueline Longoria
Scarlett Johansson
Cameron Diaz
Jessica Biel
Paulina Rubio
Shakira
Beyoncé Giselle Knowles
Kimberly Noel "Kim" Kardashian
Jennifer López
Mfanyakazi wa Airtel abambwa akiiba Quality Plaza
Mrembo
pichani (jina kapuni) aliyefahamika na wengi kama mfanyakazi wa Airtel
Quality Center hivi karibuni alikamatwa akiwa na rundo la vitu
kibao alivyoviiba ndani ya Supermarket ya Quality Centre iliyopo
barabara ya Nyerere mjini Dar es salaam.
Source: Chinga One Blog
RAIS BARAK OBAMA ASHINDA UCHAGUZI WA AWAMU YA PILI KUIONGOZA MAREKANI
President Barack Obama handily defeated Gov. Mitt Romney and won himself a second term Tuesday after a bitter and historically expensive race that was primarily fought in just a handful of battleground states. Obama beat Romney after nabbing almost every one of the 12 crucial battleground states.
In a sweeping victory speech early Wednesday morning, Obama thanked every American who voted, and vowed to work with leaders from both parties to tackle the country's challenges.
"Our economy is recovering, a decade of war is ending, a long campaign is now over," he told a crowd of cheering supporters in Chicago. "And whether I earned your vote or not, I have listened to you, I have learned from you and you have made me a better president." Obama added he has "never been more hopeful about America. ... We're not as divided as our politics suggest. We remain more than a collection of blue states and red states."
Romney conceded in Boston in an earlier speech around 1 AM ET. "Like so many of you, Paul [Ryan] and I have left everything on the field. We have given our all to this campaign," Romney said. "I so wish that I had been able to fulfill your hopes to lead your country in another direction. But the nation chose another leader." Romney congratulated the president and his campaign on their victory.
The Romney campaign's last-ditch attempt to put blue-leaning Midwestern swing states in play failed as Obama's Midwestern firewall sent the president back to the White House for four more years. Obama picked up the swing states of New Hampshire, Michigan, New Mexico, Iowa, Virginia, Wisconsin, Colorado, Nevada, Pennsylvania, Minnesota and Ohio. Of the swing states, Romney only picked up North Carolina. Florida is still too close to call, but even if Romney won the state, Obama still handily beats him in the Electoral College vote. The popular vote will most likely be narrower than the president's decisive Electoral College victory.
The Obama victory marks an end to a years-long campaign that saw historic advertisement spending levels, countless rallies and speeches, and three much-watched debates.
The Romney campaign cast the electio as a referendum on Obama's economic policies, frequently comparing him to former President Jimmy Carter and asking voters the Reagan-esque question of whether they are better off than they were four years ago. But the Obama campaign pushed back, blanketing key states such as Ohio early on with ads painting him as a multimillionaire more concerned with profits than people. The Obama campaign also aggressively attacked Romney on reproductive rights issues, tying Romney to a handful of Republican candidates who made controversial comments about rape and abortion.
The ads were one reason Romney faced a steep likeability problem for most of the race, until his expert performance at the first presidential debate in Denver in October. After that debate, and a near universal panning of Obama's performance, Romney caught up with Obama in national polls, and almost closed his favorability gap with the president. In polls, voters consistently gave him an edge over Obama on who would handle the economy better and create more jobs, even as they rated Obama higher on caring about the middle class.
But the president's Midwestern firewall—and the campaign's impressive grassroots operation—carried him through. Ohio tends to vote a bit more Republican than the nation as a whole, but Obama was able to stave off that trend and hold an edge there over Romney, perhaps due to the president's support of the auto bailout three years ago. Romney and his running mate Paul Ryan all but moved to Ohio in the last weeks of the campaign, trying and ultimately failing to erase Obama's lead there.
A shrinking electoral battleground this year meant that only 12 states were really seen as in play, and both candidates spent most of their time and money there. Though national polls showed the two candidates in a dead heat, Obama consistently held a lead in the states that mattered. That, and his campaign's much-touted get-out-the-vote efforts and overall ground game may be what pushed Obama over the finish line.
Now, Obama heads back to office facing what will most likely be bitterly partisan negotiations over whether the Bush tax cuts should expire. The House will still be majority Republican, with Democrats maintaining their majority in the Senate
NEWS ALERT: SPIKA WA BUNGE ATOA UAMUZI KUHUSU KAMATI YA NISHATI NA MADINI
BOFYA HAPA KUONA UAMUZI HUO WA SPIKA WA BUNGE.
MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYO ZINDUA ALBAM YAKE YA HAKUNA JIPYA NDANI YA ARUSHA
BEPARI LA KIHAYA...MPOKI AKIVUNJA WATU MBAVU...!!! |
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha alikuwepo katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Annastazia Mukabwa alikuwepo katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Hapa ni kijeshi kijeshi katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Hapa ni mbele eeh Tembea...!!! katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Hapa ni kwa mwendo wa kuinama inama kijeshi....!!! katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Hapa ni vazi la uzinduzi... katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Hapa ni vazi la uzinduzi...huku akiogopa mvua .... katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
Hapa ni helikopta ya Mh. Dr. Apostle Georg Davi ikitua katika Tamasha la uzinduzi wa albam Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
JOTI....akigawa KEKI kuashiria ushirikiano mwema kati yao katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment