Saturday, September 22, 2012

JINSI FIESTA BHAAAASSSS NDANI YA GREEN CITY MBEYA ILIVYOTISHA

bend ya msanii TUNDA MAN ikitumbuiza vikali baadhi ya nyimbo
zake zinazotamba duniani
ZEJOJO MANAGER(kulia) akipiga picha za poooz pamoja na rafiki yake JAMES NGWETA huku wakifurahia show hiyo
mmoja wa mashabiki akiwa na CEO wa ZEJOJO BLOG kwa jina la ALIKO HILALI(kulia) akiwa naeleza na kutoa mtazamo wa show hiyo
Ben Paul akiwa jukwaani akikonga nyoyo za wana R&B
Washabiki wakiwapiga picha za ukumbusho wasanii waliowavutia
Hao ni baadhi ya wasaniiwakionyesha vipaji vyao katika viwanja vya sokoine Jijini MBY
Hilo ndilo ali lillilotolewa kama zawadi ya mshindi wa baati na sibu ya FIESTA 2012 Mbeya

No comments:

Post a Comment