Monday, June 4, 2012

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF IDI AREJEA KUTOKA KATIKA ZIARA YA WIKI TATU

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa shada la mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi yake Said Shaabani mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.kutoka Ziara ya wikiTatu za nchi za Izrail,Cuba na UAE
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa shada la mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akijibu hoja mbalimbali za waandishi wa Habari waliofanya mahojiano nao mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.Picha na Yussuf Simai-Habari Maelezo-Zanzibar

No comments:

Post a Comment