Mshindi Wa Taji la Redds Miss Dodoma 2011 akisubiri Kumvalisha Taji
Mshindi ambaye atatangazwa katika shindano la Kuwania Taji la Redds Miss
Dodoma 2012
Mshindi wa Taji la Redds Miss Dodoma
2012 (katikakati) Lightness Michael akiwa katika picha ya Pamoja na
Mshindi wa Pili (Kulia) Berinda Mdogo na Mshindi wa Tatu wa taji la
Redds Miss Dodoma 2012 (Kushoto) Nulsa Magambo Mara baada ya Mshindi wa
Taji la Redds Miss Dodoma Kumalizika hapo Jana
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha
Kuwania Taji la Redds Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya
Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora
Muda wa Maswali Ukawadia Kwa washiriki walioingia katika tano bora
Baadhi ya washiriki walipokua wakipita Jukwaani kwa Mara ya kwanza
Muda wa Kuonyesha Vipaji sasa hapo ni mauno kwa kwenda mbele
Vazi la Ufukweni hilo
Washiriki walioingia hatua ya tano bora
Jaji mkuu akisoma majin ya washiriki walioingia tano bora
Muda wa kipaji na Mshiriki huyu akaja na kipaji cha kuimba kihindi na kucheza kuch kuch
Majaji wakiwa makini katika kuhakikisha wanatoa mshiriki anayefaa na mwenye vigezo vyote vinayohitajika
Msanii wa Bongo Fleva Dully Sykes
akitoa Burudani kwa washabiki waliohudhuria katika shindano la kuwania
taji la Redds Miss Dodoma 2012 lililofanyika jana katika ukumbi wa
kilimani
Baadhi ya Wadau waliojitokeza
kushuhudia Kinyanganyiro Hiko huku wengine wakisakata rumba mara baada
ya Dully Sykes Kuwakuna Vilivyo
Waratibu wa Shindano hilo wakiwa katika Picha ya Pamoja
Hawa ndio waliokunwa vizuri na Show ya Msanii wa Bongo Fleva Dully Sykes
Mmiliki wa mtandao wa Lukaza blog (Wa
Kwanza Kushoto) Josephat Lukaza Akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya wanafunzi wa UDOM waliojitokeza kuwashangilia Wanafunzi wenzao
walioshiriki shindano hilo
Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redds
Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na
Washiriki wa Shindano hilo.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SOMALIA ARUSHA LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
Rais Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye leo june 2, 2012 jijini
Arusha. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea
hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika na pia
akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha
utulivu unarejea nchini Somalia. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment