hizi ndizo barabara za majengo ya hosteli za chuo hicho ambapo makundi ya watu mbalimbali hupita kwa kuimba nyimbo za harambee huku wakipiga kampeni
baadhi ya kundi la mgombea wa urahisi akipita huku akiwapunga mkono wa salamu kwa wanafunzi waliokuwa wakimuangalia na kumshabikia
msafara huu ulipambwa na nyimbo za kishujaa na mchakamchaka kwa mbaaaali
walihakikisha wanapita bweni baada ya bweni wakisaeeema mchague GEORGE kwani anafaa:habari picha na (ZE JOJO)
No comments:
Post a Comment