Wednesday, May 2, 2012

WANAFUNZI UDOM WAGEUZA CHUMBA KUWA HAIR CUTS SALOON


 style mbalimbali zagundulika kama  viduku


wengine wabishaniana mambo ya mpira humohumo

mteja akiwa anajiangalia baada ya kunyolewa vizuri kabisa


wengine wakiwa wametulia tuli huku wakinyolewa style wazitakazo

vivohivyo kinyozi nae ananyolewa


kijana atupia halaa baaba ya kutolewa mchicha na baadhi ya vinyozi hao
blogger machachali wa tiko-tikoboy akiwa anakoroga superblack kwa ajili ya kuzifanya nywele zivutie
picha na (ZEJOJO) 

No comments:

Post a Comment