Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Highness Kiwia (kushoto)
na Mbunge wa jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemli (kulia) wakiendelea
na
matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada kujeruhiwa na
kundi la watu mjini Mwanza. (Picha na Robert Okanda).
No comments:
Post a Comment