Saturday, April 7, 2012

TASWIRA ZAIDI YA MSIBA WA MSANII NGULI WA FILAMU TANZANIA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Bi Mwenda akiwa analia
 Cheti cha Hospitali cha kanumba
Mvua ilipoanza kunyesha wananchi wakaanza kujifunika kwa viti kwenye msiba wa marehemu Steven Kanumba
Mainda alipokua akiwasili kwenye msiba wa Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwa marehemu sinza vatican
Umati wa wananchi waliofika nyumbani kwa marehemu sinza vatican
 Barabara ikiwa imefungwa wakati wananchi walipohudhuria msiba wa marehemu Steven Kanumba nyumbani kwa marehemu Sinza Vatican
Umati uliokusanyika nje ya nyumba ya marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican
Makundi makundi yalikua kila sehemu za jiji la dar likiongelea kifo cha msanii nguli wa filamu nchini na afrika kwa ujumla Steven Kanumba picha na (lukaza blog)

No comments:

Post a Comment