Monday, March 19, 2012

WANAFUNZI UDOM WAANZA KUONYESHA TABASAMU MARA BAADA YA MAJINA YA KUSAINI BOOM KUTOKA

Wanafunzi Wa UDOM wakiwa kwenye foleni tayari kwenda kusaini Pesa ya Kujikimu Asubuhi.Zoezi ambalo lilianza mapema Jumamosi iliyopita.
 Haya sasa Wanafunzi wa Udom Hao wakiwa kwenye foleni tayari kwa kusaini boom.
 Wengine wakiwa kwenye foleni huku wengine wakiwa katika majadiliano mazito kuhusu boom.
 
 
 

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akimkabidhi zawadi mmoja kati ya watoto yatima waliofanya vizuri katika masomo yao

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akimkabidhi zawadi mmoja kati ya watoto yatima waliofanya vizuri katika masomo yao ya maandalizi, Warda Ramadhan Mgeni, katika maadhimisho ya Siku ya Watoto Yatima yaliyofanyika katika Kijiji cha Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki. (Na Mpigapicha Maalumu).

Arumeru Mashariki kwazidi kupamba moto uchaguzi mdogo

wafuasi wa CHADEMA wakimsalimia mgombea kupitia Chama hicho Nassari.Picha na Amani Tanzania

2 comments: