Wanafunzi wa UDOM leo wameingiwa na furaha baada ya kukaa wiki 3 bila kupata hela.....
ATM za CRDB UDOM,zikiwa zimeanza kufurika baada ya pesa kuwekwa jioni ya leo
Vijana wakitikisa mihamala leo jioni hapa Social>>>>>>>>>>>Picha na Lukaza na Faddy Linga
No comments:
Post a Comment