Sunday, January 22, 2012

 

maandano ya wanafunzi waislamu yafanyika dar


 

 
 
 …
 

 
 
 
 
Wanafunzi wa kiislamu shule za sekondari za Dar es salaam wameandamana jana kama walivyoahidi siku chache zilizopita kwenye vyombo vya habari.
Maandamano yao yaliishia viwanja vya kidongo chekundu na waziri wa elimu Dk.shukuru kawambwa alikuwepo kuongea nao.
 
 
 
 
 
 
  Matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa bunge la Misri yaonesha Muslim Brotherhood imepata vit ving.

 


No comments:

Post a Comment