Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Azindua Mashina Mapya Rukwa
Baadhi
ya wafuasi wa Chadema wakiwa mbele ya jiwe la msingi mufa mfupi kabla
ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kulizindua mkoani rukwa
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe akizindua mmoja ya mashina mapya ya Chadema Mkoani Rukwa
Mwenyekiti
wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe akihutubia muda mfupi
baada ya kuzindua mmoja ya mashina mapya ya Chadema Mkoani Rukwa.Picha
Zote na Chadema
No comments:
Post a Comment