MTOTO SAMWEL MLOPE
Afya ya mtoto Samwel wala hairidhishi kabisa,hali iliyompelekea kushidwa kabisa hata kupata masomo.
Na huyu ndiye mama mzazi wa mtoto
Samwel Mrope,Bi. Amina Ally ambaye anajishughulisha na kazi za ndani ili
aweze kujipatia pesa kwa ajili ya kujikimu kimaisha yeye pamoja na
mwanae samwel.
Kwa
mara ya kwanza kabisa alipoanza kusumbuliwa na tatizo hili mama yake
mzazi ambaye ni Bi. Amina Ally alimpeleka katika hospital ya Mkoa wa
Ruvuma na baadae akaambiwa ampeleke mtoto huyo katika hospital ya Taifa
Muhimbili na baada ya kufika muhumbili ndipo alipoambiwa kuwa mtoto
Samwel anasumbuliwa na tatizo la kuwa na tundu kwenye moyo wake.
Alisema kuwa "baba wa mtoto Samwel aliondoka muda mrefu sana uliopita kuelekea machimbo kwa ajili ya kutafuta na mpaka hii leo hajarudi na hawafahamu yupo wapi.
Unaweza
kujiuliza ni nini ambacho kimetokeza katika mgongo wa mtoto huyu?.Mtoto
Samwel Mlope mwenye umri wa miaka kumi na moja(11) ambaye ni mkazi wa
Mahenge ndani ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.Mtoto huyu alianza
kuumwa mwaka 2001 ambapo alianza kusumbuliwa na tatizo la moyo kuwa na
tundu.
Alisema kuwa "baba wa mtoto Samwel aliondoka muda mrefu sana uliopita kuelekea machimbo kwa ajili ya kutafuta na mpaka hii leo hajarudi na hawafahamu yupo wapi.
No comments:
Post a Comment