Msanii
Juma Kilowoko (SAJUKI) enzi za Uhai Wake.
Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri
katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha
waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki
alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu
No comments:
Post a Comment