Tuesday, December 11, 2012

RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja wakitembelea sehemu ya chumba cha upasuaji mkubwa chenye vifaa vya kisasa baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa saluti alipowasili kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea  pamoja na madaktari na wauguzi katika picha ya pamoja  baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja katika picha ya pamoja na madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Mnazi mmoja  baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment