Tuesday, December 11, 2012

Airtel yaanza shamrashamra za Christmas


 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati), akizungumza na mmoja wa wateja mashuhuri wa kampuni hiyo, Jaji Joaquine Antoinette De-Mello(kushoto) katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society  lililodhaminiwa na Airtel katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel. Irene Madeje.
 Kikundi cha kwaya cha Dar Choral Society kikitumbiza katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo  lililoandaliwa na  Airtel kwa wateja wao wa makampuni  katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
  Father x-mas akitoa zawadi kwa mmoja wa watoto waliohudhuria onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililoandaliwa na  Airtel kwa wateja wao wa makampuni  katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
 Baadhi ya wanamuziki wa Kikundi cha kwaya cha Dar Choral Society wakionyesha umahiri wao katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo  lililoandaliwa na  Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
 Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel, Irene Madeje (wa pili kushoto) akizungumza na baadhji ya wateja wokatika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society   lililoandaliwa na
 Airtel kwa wateja wao wa makampuni  katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.


Baadhi ya watu waliohudhuria onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society  lililoandaliwa na  Airtel kwa wateja wao wa makampuni  katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment