Thursday, October 4, 2012

UMESHA WAHI KUONA SIGARA YA KUCHAJI KWENYE UMEME

UMEWAHI KUONA SIGARA YA KUCHAJI KWENYE UMEME?Inaitwa T-FUMO, Material yake ni ya Plastic
Ukiiona inafanana na sigara ya kawaida
Ndani ina Tobacco,  na Filter kama kawaida
 


Hicho kitundu hapo nyuma ndio ukivuta moshi unatokea hapo

 Unai charge kwenye laptop au kwenye gari au sehemu yoyote inayoweza kuingia USB ChargerUnabandua filter ya nyuma unachomeka hiko kidude cheusi, kisha unaingiza kwenye Laptop
Ukimaliza unarudishia filter unaendelea kuvuta
 

 Filter ndio iliobeba Tobacco, na zpo za ladha mbalimbali
Ya Chocolate, ya Vanilla, ya Cafe na Mint
The choice is yours.
 
Inasemekana pia kuwa inasaidia kupunguza uvutaji wa Sigara

No comments:

Post a Comment