Sunday, October 7, 2012

TUKIO LA KUSIKITISHA: DEREVA TAXI AUAWA KIKATILI SINZA USIKU WA KUAMKIA LEO ATOBOLEWA MACHO!! SHUHUDIA

TUKIO LA KUSIKITISHA: DEREVA TAXI AUAWA KIKATILI SINZA USIKU WA KUAMKIA LEO ATOBOLEWA MACHO!! SHUHUDIA


 MWILI WA DEREVA TAXI UKIWA KATIKA GARI LA POLISI MARA  BAADA YA KUFIKA ENEO LA TUKIO NA KUCHUKUA MWILI.
 HILI NDILO GALI LA POLISI AMBALO LIMEBEBA MWILI WA MAREHEMU DEREVA WA TAXI
 RIPOTA WETU AKIWA ANASHUHUDIA TUKIO LIVE
 HILI NDILO GARI AMBALO TAXI DRIVER ALIUAWA VIBAYA NA KUTOBOLEWA MACHO
 MJUMBE AKIWA ANAHOJIWA 
 GARI LA POLISI LIKIWA LINAJIANDAA KUONDOKA ENEO LA TUKIO 
 ASKARI KANZU WAKIWA ENEO LA TUKIO KUHAKIKISHA KUNA USALAMA 
 POLISI WAKIWA NDANI YA GARI NA WILI WA MAREHEMU DEREVA TAXIA
 HUMU NI NDANI YA TAXII AMBAMO DEREVA TAXI HUYO ALIUAWA KIKATILI A
 WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WANACHUKUA TAARIFA
UMATI MKUBWA WA WATU KATIKA ENEO LA TUKIO PICHA ZOTE NA: www.blogszamikoa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment