Sunday, September 23, 2012
Rais jakaya kikwete aongoza kikao maalum cha baraza la mawaziri
Wajumbe katika mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri na Makatibu wakuu wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) alipokutana nao Alhamisi Septemba 8, 2012 katika ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment