Tanzania kuzidi kuimarisha mahusiano na India – Spika Makinda
Spika
wa Bunge la India Mhe. Meira Kumar akimkaribisha mgeni wake, Spika wa
Bunge la Tanzania, Mhe. Anne Makinda kwenye chumba maalum kwa ajili ya
mazunguzo kuhusu ushirikiano wan chi mbili hizi .
Baada
ya mkutano wa Saba wa Maspika wa Bunge wanawake kumalizika, viongozi
hao kwa pamoja walikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza
yaliyojiri.
Ujumbe wa Tanzania na ule wa india kwa pamoja Picha na Prosper Minja wa Bunge kwa picha zaidi tembelea: www.prince-minja.blogspot.com
No comments:
Post a Comment