Thursday, October 4, 2012

BILA SHAKA UJUMBE UMEWAFIKIA KUHUSU SERENGETI FIESTA 2012BILA SHAKA UJUMBE UMEWAFIKIA KUHUSU SERENGETI FIESTA 2012

Hii ni katika kuutangazia Umma wa Watanzania hasa waishia jiji la Dar es Salaam na Vitongoji vyake juu ya Ujuo wa Mwanamuziki Nguli kutoka nchini Marekani, Rick Ross ambaye anakuja kulipambamba tamasha kubwa la Burudani nchini la SERENGETI FIESTA 2012 litakalo fanyika Jumamosi ya Oktoba 6 2012.

No comments:

Post a Comment