Sunday, July 8, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA BAARZA LA MAWAZIRI DODOMA LEORais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.PICHA NA IKULU
KASEBA VS CHEKA KUONESHANA UMWAMBA SIKU YA SABA SABA

Msanii wa Filamu Nchini Jaqlin Wolper akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuhusu mpambano wake wa masumbwi na Wema Sepetu utakaofanyika Katika uwanja wa Taifa siku ya sabasaba


Kocha wa bondia Wema Sepetu ambani Msanii Bondia Rashidi Matumla akiongea kwa niaba wakati wa kutambulisha mpambano uho leo

Moja ya mabango yanayonesha kuwepo na mpambano wa Francis Cheka na Japhert Kaseba likiwa limewekwa makutano ya Barabara ya Uhuru na Msimbazi kwa ajili ya kuamasisha Tamasha la matumaini litakalofanyika Katika uwanja wa taifa Dar es salaam na burudani kibao kutoka kwa wasanii mbalimbali nchini. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comNo comments:

Post a Comment